Bongo Celebrity Yafanya Mahojiano na Khadija Mwanamboka Juu ya Miaka Mitatu ya TMH
Wiki kadhaa zilizopita, kituo cha kulelea watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu kilicho chini ya Tanzania Mitindo House(TMH), kilitimiza miaka mitatu(3) tangu kianzishwe.Katika shamrashamra za kusheherekea miaka hiyo mitatu,BC ilipata nafasi ya kuongea na Bi.Khadija Mwanamboka,mbunifu maarufu wa mitindo nchini Tanzania ambaye pia ndio mwanzilishi wa kituo hicho ambacho kwa mujibu wa mahojiano niliyoyafanya naye miaka mitatu iliyopita,kuanzisha kituo kama hicho…
