Bongo Black Ball ya Khadija Mwanamboka – Mlimani City ilivyofana
Usiku wa jana mbunifu wa mavazi Khadija Mwanamboka kupitia kampuni yake ya Vitu Vya Khadija Events & Clothing aliandaa party yenye jina Bongo Black Ball: Celebrating Tanzanian Music na kuwaalika wadau mbilimbali wa masuala ya fashion nchini. BBB iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City, ilihudhuriwa na mastaa na wadau kibao kwenye fashion industry nchini. Hizi ni picha za BBB. Wasanii waliotumbuiza ni pamoja na Linex na Mwasiti.

