Mbunifu wa Mavazi Khadija Mwanamboka ambaye pia ndio Mwandaaji wa Bongo Black Ball Party iliyobeba Theme ” Celebrating Tanzania Music” wakati wa uzinduzi wa Kampuni ya Vitu vya Khadija Events & Clothing akiwa na wadau mbalimbali kwenye mnuso wa nguvu uliowakutanisha Masupastaa wa Bongo wadau waliopo kwenye Fashion Industry katika usiku uliopambwa na msanii Mkongwe wa muziki nchini King Kiki a.k.a mzee wa kitambaa cheupe pamoja na burudani kutoka kwa wasanii wa Bongo Flava Linex na Mwasiti
10:09:00 AM
VENUE:: MLIMANI CITY
DATE:: 26TH APRIL, 2013
DECOR:: PACO DECOR
MC OF THE EVENT EVANS BUKUKU
DECOR....!!!
MBUNIFU WA MAVAZI KHADIJA MWANAMBOKA KAFUNGUA KAMPUNI YA EVENT PLANNING KWAAJILI YA MAKAMPUNI,MASHIRIKA NA WATU BINAFSI, KHADIJA ANAUZOEFU WA KUANDAA EVENTS KUBWA ZA WATU WENGI.. AMBAZO AMEWAHI KUANDAA NI TANZANIA RED RIBBON FASHION GALA,8020 FASHIONS ANNIVERSARY YA MIAKA MITANO,
WOMEN'S CELEBRATION NA UFUNGUZI WA DUKA LA MIMI'S COLLECTION.
KWA MAWASILIANO:
KHADIJA MWANAMBOKA
+255755 551077-0713 551077
EMAIL-khadija@vituvyakhadija.com
TWITTER-@khadijamboka
WEB-www.vituvyakhadija.com
ZAMA NDANI KUONA PICHA ZA SHEREHE..!!
DECORATION ILIFANYWA NA PACO DECOR, KAMA KAWAIDA YAKE KAZI NZURI!!!
BAR DESIGN BY PACO
PACO PIA ANATOA HUDMA YA VINYWAJI
BURUDANI
DINNER
NYUSO
ANKAL K