Mahojiano mafupi na Khadija Mwanamboka Oct 17, 2010
Mahojiano mafupi na mbunifu wa mitindo nchini Tanzania Khadija Mwanamboka baada ya onesho lake hapa Washington DC. Anaelezea alipoanzia, alipo na tasnia ya mitindo kwa ujumla. Matatizo na mafanikio na pia mchakato wa vazi la taifa





